Your Creative Sweet Spot is Not the Time When Your Mind is Sharpest
David Kadavy: "You want to think divergently so you can have insights."
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Jihadharini na abudu ya wakati. Kwa kawaida wakati siyo kile unachojaribu kuboresha. Fanya kazi kulingana na wakati wa saa iwapo ni muhimu tu. Vinginevyo, fanya kazi kulingana na muda wa tukio. Usijaribu kujaza kupita kiasa matokeo fulani humo vitengo vya muda.
"Badala yake, tumia vitengo vya muda kama miongozo iliyokwaruza ili kutenga nishati yako katika shughuli ambazo zitakuongoza kuelekea malengo yako. Tafuta Mahali Pazuri yako pa Ubunifu Tamu. Tafuta kitengo cha muda kila siku ulichoweza kufanywa tupu na kutumia muda huo katika hali ya akili ya Kutokeza [Generate]. Yamkini wewe uwe kibunifu zaidi huko asubuhi, kwa hivyo jaribu Kanuni ya Saa ya Kwanza* [hapo].
"Kumbuka, Mahali Pazuri yako pa Ubunifu Tamu siyo wakati ambao akili yako iko mkali. Unataka kufikiria kwa njia tofauti na kwa urahisi [divergently] ili upate utambuzi mpya. Baadaye, unaweza kufikiria kwa njia pamoja pamoja [convergently] na kubadilisha mawazo hayo kuwa bidhaa za kumaliza.”
* Kanuni ya Saa ya Kwanza ni hii tu: Tumia saa ya kwanza ya siku yako kufanya kazi kwenye mradi wako muhimu zaidi, na mradi wako muhimu zaidi pekee (uk. 59).
- David Kadavy, mwandishi wa Marekani na mwandikaji wa mtandaoni ambaye anajitahidi kusaidia watu kuwa na matokeo zaidi wakati ubunifu ni muhimu. Pia, here: https://substack.com/@kadavy.
ENGLISH TRANSLATION
“Be on the lookout for time worship. Time usually isn’t what you’re optimizing for. Work according to clock-time only when it really matters. Otherwise, work according to event-time. Don’t try to cram certain outcomes into units of time.
“Instead, use units of time as rough guides to allocate your energy into activities that will move you toward your goals. Find your Creative Sweet Spot. Find one block of time each day that you can clear away and spend that time in the Generate mental state. You’re probably most creative first thing in the morning, so experiment with the First Hour Rule* [there]. “
“Remember, your Creative Sweet Spot is not the time when your mind is sharpest. You want to think divergently so you can have insights. Later on, you can think convergently and turn those ideas into finished products.”
* The First Hour Rule is simply this: Spend the first hour of your day working on your most important project, and your most important project, only (p. 59).
- David Kadavy, American author and online writer who strives to help people be productive when creativity matters. Also, here: https://substack.com/@kadavy.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Kadavy, David. Mind Management, Not Time Management: Productivity When Creativity Matters. Kadavy, Inc., 2020, pages 59, 227. Kindle edition.