Annie Dillard: That is the Trade Entering His Body
Annie Dillard is a U.S. author whose works often ask readers to awaken to the natural world around them
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
"Uwanja wa fasihi, pamoja na vikomo na kingo zake, upo nje ya baadhi ya watu na ndani ya wengine. Ni baada tu ya mwandishi anaruhusu fasihi ifinyangie yeye ndipo pengine anaweza kuunda fasihi. Katika Ufaransa ya tabaka la wafanyakazi, wakati mwanagenzi alipoumia, au alipochoka, mafundi wenye ujuzi zaidi walisema, ‘Hiyo ni ufundi unaoingia mwilini mwake.’”
- Annie Dillard ni mwandishi wa U.S. wa mashairi na nathari (maandishi ya kawaida) ambayo huwauliza wasomaji kuamka kwa ulimwengu wa asili unaowazunguka; yeye ni profesa mstaafu; na alitunukiwa Tuzo la Kitaifa la Binadamu mnamo 2014.
ENGLISH TRANSLATION
“The body of literature, with its limits and edges, exists outside some people and inside others. Only after the writer lets literature shape her can she perhaps shape literature. In working-class France, when an apprentice got hurt, or when he got tired, the experienced workers said, “It is the trade entering his body.”
- Annie Dillard is a U.S. writer of poetry and prose that asks readers to awaken to the natural world; she is a retired professor; and was awarded the National Humanities Award in 2014.
Chanzo (source): Dillard, Annie. The Writing Life. New York: HarperCollins, originally published in 1989, ebook published 2007 by same publisher, page 69. Kindle Edition.