Annie Dillard: A Writer is a Miner, a Woodcarver, a Surgeon...
Annie Dillard is a U.S. author whose works often ask readers to awaken to the natural world around them
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
"Unapoandika, unaweka mstari wa maneno. Mstari wa maneno ni kama sululu ya mchimbaji, bobari ya mchonga mbao, au chombo cha upasuaji cha daktari. Unaitumia, na inachimba njia unayofuata. Hivi karibuni, utajikuta ndani ya eneo jipya. Je, eneo hilo ni kituo cha kuacha au umepata mada halisi? [Kweli] Hutajua mpaka kesho, au mpaka wakati huu mwaka jana [baada ya kujaribu zaidi].”
- Annie Dillard ni mwandishi wa U.S. wa mashairi na nathari (maandishi ya kawaida) ambayo huwauliza wasomaji kuamka kwa ulimwengu wa asili unaowazunguka; yeye ni profesa mstaafu; na alitunukiwa Tuzo la Kitaifa la Binadamu mnamo 2014.
ENGLISH TRANSLATION
“When you write, you lay out a line of words. The line of words is a miner’s pick, a woodcarver’s gouge, a surgeon’s probe. You wield it, and it digs a path you follow. Soon you find yourself deep in new territory. Is it a dead end, or have you located the real subject? You will know tomorrow, or this time next year.”
- Annie Dillard is a U.S. writer of poetry and prose that asks readers to awaken to the natural world; she is a retired professor; and was awarded the National Humanities Award in 2014.
Chanzo (source): Dillard, Annie. The Writing Life. New York: HarperCollins, originally published in 1989, ebook published 2007 by same publisher, page 3. Kindle Edition.