Annie Dillard: Your Curiosity is Waiting for You
Annie Dillard is a U.S. author whose works often ask readers to awaken to the natural world around them
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
"Kwa nini kamwe huoni yoyote iliyoandikwa kuhusu wazo hilo ulilotaka kujua kwa wenyewe tu, yoyote kuhusu kuvutiwa kwako juu ya kitu ambacho hakuna mtu mwingine anaelewa? Ni kwa sababu linasubiri kwako. Ikiwa kuna kitu unachokiona kinapendeza—kwa sababu ni kigumu kukieleza kwa maana bado hujawahi kukisoma kwenye ukurasa wowote—mahali papo unapoanza [kuandika].”
- Annie Dillard ni mwandishi wa U.S. wa mashairi na nathari (maandishi ya kawaida) ambayo huwauliza wasomaji kuamka kwa ulimwengu wa asili unaowazunguka; yeye ni profesa mstaafu; na alitunukiwa Tuzo la Kitaifa la Binadamu mnamo 2014.
ENGLISH TRANSLATION
“Why do you never find anything written about that idiosyncratic thought you advert to, about your fascination with something no one else understands? Because it is up to you. There is something you find interesting, for a reason hard to explain because you have never read it on any page; there you begin [to write].”
- Annie Dillard is a U.S. writer of poetry and prose that asks readers to awaken to the natural world; she is a retired professor; and was awarded the National Humanities Award in 2014.
Chanzo (source): Dillard, Annie. The Writing Life. New York: HarperCollins, originally published in 1989, ebook published 2007 by same publisher, pages 67. Kindle Edition.