Jitahadhari Kosa la Kuongezeka kwa Kujitoleacho
Annie Duke, former poker player: Avoid the Escalation of Commitment Error
KISWAHILI
"Tunapokuwa katika hali ya kupoteza, kuna yamkini kubwa wa siyo tu kujibaki kwenye hali hiyo ya kupoteza, lakini pia kujikaa hata zaidi. Mwelekeo huu unaitwa kuongezeka kwa kujitoleacho. Kuongezeka kwa kujitoleacho ni thabiti na wa ulimwengu wote, kunaotokea kwa watu binafsi, mashirika, na vyombo vya serikali. Sisi sote huwa tunakwama katika njia za kuchukua hatua mara tu zinapoanza, haswa tunapokabiliwa na habari mbaya. Kuongezeka kwa kujitoleacho hakutokea tu katika hali za hatari juu. Pia hutokea katika hali ya hatari ndogo, kuonyesha kuenea kwa makosa."
- Annie Duke, mwandishi wa Quit: The Power of Knowing When to Walk Away, page 84.
ENGLISH TRANSLATION
“When we are in the losses, we are not only more likely to stick to a losing course of action, but also to double down. This tendency is called escalation of commitment. Escalation of commitment is robust and universal, occurring in individuals, organizations, and governmental entities. All of us tend to get stuck in courses of action once started, especially in the face of bad news. Escalation of commitment doesn’t just occur in high-stakes situations. It also happens when the stakes are low, demonstrating the pervasiveness of the error.”
- Annie Duke, author of Quit: The Power of Knowing When to Walk Away, page 84.
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Annie Duke aliyekuwa wa kucheza poka wenye mafanikio makubwa, na sasa ni mwandishi, na mzungumzaji wa shirika na mshauri aliyetafutwa katika katika sekta ya kufanya maamuzi; pia ni mwanzilishi mwenza wa shirika lisilo ya faida linatiwa Alliance for Decision Education kwamba kuwezesha wanafunzi kufanya maamuzi bora. Yeye pia yuko kwenye Substack(!):
.ENGLISH TRANSLATION
Annie Duke is a former professional poker player with great success, and now is a best-selling author, and highly sought-after corporate speaker and consultant in the decision-making space; she is also the co-founder of the non-profit Alliance for Decision Education to empower students to make better decisions. She is also on Substack (!): .
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Duke, Annie. Quit: The Power of Knowing When to Walk Away. New York: Penguin Random House, 2022, page 84. Kindle edition.
It was hard one! At first, I went "kujitoa" but that comes across as as "volunteering" and I felt the meaning wouldn't carry. So I went "give oneself over to a thing" (kujitoleacho). :)
That’s a hard translation!