Joramu Nkumbi: Africa Has a Merited Position on the Global Stage
Joramu Nkumbi, Tanzanian leadership coach and author
Mmerikani’s Substack consists of sourced, edifying quotes in a dual-language format (Swahili & English). I am a Quaker, runner, and was formally trained in Swahili.
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Lakini, tusiwe vipofu kwa changamoto zinazotukabili, lakini pia tusikatishwa tamaa nazo. Tuna uwezo was kubadilisha bara letu, na ni juu yetu kuchangamkia fursa hiyo. Ulimwengu unatazama, na ni wakati wa Afrika kuchukua nafasi yake inayostahili kama kiongozi katika jukwaa la kimataifa.”
- Joramu Nkumbi, kocha wa uongozi, mwandishi, na mzungumzajia wa hamasa wa Tanzania
ENGLISH TRANSLATION
“But let us not be blind to the challenges we face, nor be discouraged by them. We have the power to transform our continent, and it is up to us to eagerly embrace this opportunity. The world is watching, and the time is now for Africa to take its merited position as a leader on the global stage.”
- Joramu Nkumbi, leadership coach, author, and motivational speaker from Tanzania
Chanzo (source): Nkumbi, Joramu. Ulumbi na Walumbi: Mchango wa Tanzania Barani Afrika. Dar es Salaam: JAMANA Publishers, Ltd., 2023, page 178.