Joramu Nkumbi: Only Tanzania and Ethiopia Use African Languages in Their Government Affairs
Joramu Nkumbi, Tanzanian leadership coach and author
Mmerikani’s Substack consists of sourced, edifying quotes in a dual-language format (Swahili & English). I am a Quaker, runner, and was formally trained in Swahili.
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Katika masuala ya lugha na utamaduni ziko nchi 2 pekee barani Afrika kati ya nchi 55 zinazotumia lugha zake za asili kuanzia chini kabisa mashinani kwa mama mboga lama katika utendaji wa juu wa serikali. Nchi hizo ni Tanzania (Kiswahili) na Ethiopia (Amharic).
“Vilevile, Waziri wa Elimu [wa Tanzania] Profesa Joyce Ndalichako ametangaza rasmi kuanza kufundishwa Historia ya Tanzania kwa Lugha ya Kiswahili kuanzia shule za msingi lama Kidato cha Sita. Hivyo, kitabu hiki kinakuja katika wakati mwafaka.”
- Joramu Nkumbi, kocha wa uongozi, mwandishi, na mzungumzajia wa hamasa wa Tanzania
ENGLISH TRANSLATION
“In matters of language and culture, there are only 2 countries out of 55 on the African continent that use indigenous languages from the grassroots level to the highest levels of government. Those two countries are Tanzania (Kiswahili) na Ethiopia (Amharic.)
“Along those lines, [Tanzanian] Education Minister Professor Joyce Ndalichako has officially announced the introduction of the History of Tanzania in Swahili into the curriculum beginning in primary school and lasting through Form Six. In this way, the book comes at the perfect time.”
- Joramu Nkumbi, leadership coach, author, and motivational speaker from Tanzania
Chanzo (source): Nkumbi, Joramu. Ulumbi na Walumbi: Mchango wa Tanzania Barani Afrika. Dar es Salaam: JAMANA Publishers, Ltd., 2023, page 34-35.
Yes!