Kuacha Ndiku Ni Ustadi Wa Msingi Ambao Ningemchagulia Fulani
On quitting, from Annie Duke, former poker player: To upskill decision-making, I would teach people to quit
KISWAHILI
“...Nikiwa ningetaka kumboresha ujuzi wa mtu ili mkata shauri bora, kuacha ndiku ni ustadi wa msingi ambao ningechagua, kwa sababu chaguo la kuacha ndilo linalokuruhusu kuitikia mabadiliko hayo ya mazingira.”
- Annie Duke, mwandishi wa Quit: The Power of Knowing When to Walk Away, page 10.
ENGLISH TRANSLATION
"...if I had to skill somebody up to get them to be a better decision-maker, quitting is the primary skill I would choose, because the option to quit is what allows you to react to that changing landscape.”
- Annie Duke, author of Quit: The Power of Knowing When to Walk Away, page 10.
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Annie Duke aliyekuwa wa kucheza poka wenye mafanikio makubwa, na sasa ni mwandishi, na mzungumzaji wa shirika na mshauri aliyetafutwa katika katika sekta ya kufanya maamuzi; pia ni mwanzilishi mwenza wa shirika lisilo ya faida linatiwa Alliance for Decision Education kwamba kuwezesha wanafunzi kufanya maamuzi bora. Yeye pia yuko kwenye Substack(!):
.ENGLISH TRANSLATION
Annie Duke is a former professional poker player with great success, and now is a best-selling author, and highly sought-after corporate speaker and consultant in the decision-making space; she is also the co-founder of the non-profit Alliance for Decision Education to empower students to make better decisions. She is also on Substack (!): .
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Duke, Annie. Quit: The Power of Knowing When to Walk Away. New York: Penguin Random House, 2022, page 10. Kindle Edition.
Thank you, Mmerikani, for this post, too. This and the others you have posted from Annie Duke have started me thinking a bit differently. Now reading some books Annie Duke mentioned in her posts (I subscribed, again, thanks to you), and am seeing some things that I needed at this point in my life. Grateful.