Kuandika Si Jambo Ambalo Watafsiri au Waandishi Wanaweza Kuzuiwa Kufanya
Edith Grossman (1936-2023): "Writing is not something translators or writers can be dissuaded from doing."
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
"Kuandika, kama mazoezi mengine yoyote ya kisanii, ni wito unaoita sehemu za kina, zinazogusa mioyo yetu; si jambo ambalo watafsiri au waandishi wanaweza kuzuiwa kufanya au wangeacha kwa urahisi.”
- Edith Grossman (1936-2023), mfasiri wa fasihi, mtetezi wa tafsiri, na mwandishi wa Why Translation Matters (2010).
ENGLISH TRANSLATION
“Writing, like any other artistic practice, is a vocation that calls to deep, resonating parts of our psyches; it is not something translators or writers can be dissuaded from doing or would abandon easily.”
- Edith Grossman (1936-2023), literary translator, translation advocate, and author of Why Translation Matters (2010).
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Edith Grossman (1936-2023) alikuwa mfasiri mashuhuri wa fasihi wa waandishi muhimu wa lugha ya Kihispania na mtetezi wa tafsiri, akisisitiza watafsiri waweke majina yao pamoja na mwandishi asilia kwenye jalada. Alikumbusha kila mara tasnia ya uchapishaji na wasomaji kwamba tafsiri huwaruhusu wasomaji kupata uzoefu wa fasihi ya nchi na tamaduni zingine. Alijaribu kuinua jukumu muhimu la kutafsiri katika kitabu chake kilichochapishwa na Yale University Press, Why Translation Matters (2010).
ENGLISH TRANSLATION
Edith Grossman (1936-2023) was a renowned literary translator of famous Spanish-language authors and a translation advocate, insisting translators have their name on the cover with the original author. She continually reminded the publishing industry and readers that translations allow readers to experience the literature of other countries and cultures. She sought to elevate the critical role of translation in her book published by Yale University Press, Why Translation Matters (2010).
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Grossman, Edith. Why Translation Matters. New Haven, Connecticut: Yale University Press, 2010, location 124. Kindle Edition.
Kama mwalimu wako wa Kiswahili ninafarajika mithili ya kukithiri, kwA jinsi ulivyokuja kujigeuza kuwa mmahiri wa lugha hiyo. Kila la heri, juhudi zako zitakufijisha kwenye kelele cha lugha yetu!
This quote suits you to a T! (Where did that phrase come from, I wonder?)
If Google translated the first comment correctly, it would seen that someone has high praise for you, Mmerikani. Well deserved.