Kupenda Ubinadamu na Jirani Wetu
Eric Hoffer, working-class philosopher: It is easier to love in the abstract
KISWAHILI
"Mara nyingi ni rahisi zaidi kupenda ubinadamu kwa ujumla kuliko kumpenda jirani wetu….
“[Zaidi ya hayo,] uwezo wa kupatana na jirani wetu unategemea kwa kiasi kikubwa uwezo huo wa kupatana na sisi wenyewe.”
- Eric Hoffer, mpakuzi wa bandari, mwanafalsafa, na mwandishi wa Marekani. Dondoo kutoka The Ordeal of Change, 1963, ukurasa wa 79.
ENGLISH TRANSLATION
"It is often easier to love humanity as a whole than to love one’s neighbor….
“[Additionally,] the capacity for getting along with our neighbor depends to a large extent on the capacity for getting along with ourselves.”
- Eric Hoffer, American longshoreman, philosopher, and author. Excerpt from The Ordeal of Change, 1963, page 79
Kuhusu (About):
KISWAHILI
Eric Hoffer (1898?-1983) alipata umaarufu na kitabu chake cha kwanza The True Believer (1951). Kabla ya hapo, na baada ya kuchapisha vitabu kadhaa muhimu vya falsafa, aliendelea tabia yake rahisi na aliishi mazingirini ya watu wa wanaofanyakazi. Alikuwa na hamu kubwa kama msomaji na mwandishi, na vitabu vilikuwa, inasemekana, miliki yake pekee.
ENGLISH TRANSLATION
Eric Hoffer (1898? - 1983) became popular with his first book The True Believer (1951). Before that, and during the several philosophical books he later published, he retained his working-class habits and environment. He was a voracious reader and writer, autodidact, and books were, reportedly, his only possession.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Hoffer, Eric. The Ordeal of Change. New Jersey: Hopewell Publications, 2006 (original 1963), page 79.
I once heard a long time ago that if you want world peace, start with your own family members. Ooh, tough one, that!