Kwa Ujumla, Zaidi ya Mwili Kushiriki Katika Zoezi Fulani, Zoezi Bora Zaidi
Mark Rippetoe: As a general rule, the more of the body involved in an exercise, the better the exercise
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Kwa ujumla, zaidi ya mwili kushiriki katika zoezi fulani, zoezi bora zaidi. Kunyanyua uzani [juu ya kichwa kutumia fito za chuma (ama barbell)] hutokeza nguvu misuli ya fumbatio, ya mviringo, ya mbavu, na ya mgongo—pia mabega na urefu zote wa mikono. Hufunza mwili mzima kusawazisha wakati huo huo ukisimama na kushinikiza uzito mzito kutumia mikono na juu ya kichwa. Zoezi hili lIinatumia misuli zaidi na linashughuli zaidi za mfumo mkuu wa neva kuliko mazoezi mengine yoyote sehemu ya juu ya mwili.”
- Mark Rippetoe, kocha wa mafunzo ya nguvu, mwandishi, na aliyetangulia mwanainua-nguvu (powerlifter) wa Marekani.
ENGLISH TRANSLATION
“As a general rule, the more of the body involved in an exercise, the better the exercise. The [overhead barbell] press produces strength in the trunk muscles—the abs, obliques, costals, and back—as well as in the shoulders and arms. It trains the whole body to balance while standing and pressing with a heavy weight in the hands and overhead. It uses more muscles and more central nervous system activity than any other upper-body exercises.”
- Mark Rippetoe, strength training coach, author, former American powerlifter.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Rippentoe, Mark. Starting Strength: Basic Barbell Training. 3rd ed. Wichita Falls, Texas: Asgaard, 2011, page 74.
Mmerikani, you sure get around in the reading department!
Hmm, does this work even if it's a small weight, say, 2kg?
A favourite topic for me! Love that you're including this in the mix