Margaret Mead: A Small Group of Thoughtful, Committed Citizens
Quote Investigator tentatively assigns this saying to Mead
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Kamwe usiwe na shaka kwamba kikundi kidogo cha wananchi wenye mawazo na kujitolea wanaweza kubadilisha ulimwengu; hakika, ndicho kitu pekee ambacho kimewahi kufanya hivyo.”
- Margaret Mead* (1901-1978) alikuwa mwanaanthropolojia wa U.S. Anajulikana zaidi kwa kazi yake ya uwandani huko Oceania [visiwa vya bahari la Pasifiki], matumizi ya utafiti wa uzoefu wa watu [kutafsiri data zisizo nambari] juu utafiti wa kiasi [kutafsiri data za nambari], na hoja yake ya athari kubwa ya kitamaduni kwa tabia.
ENGLISH TRANSLATION
“Never doubt that a small group of thoughtful, committed citizens can change the world; indeed, it’s the only thing that ever has.”
- Margaret Mead* (1901-1978) was a U.S. anthropologist. She is best known for her fieldwork in Oceania, the use of qualitative research over quantitative, and her argument for cultural determinism.
Chanzo (source): Keys, Donald. Earth at Omega: Passage to Planetization. Epigraph of Chapter VI: The Politics of Consciousness, page 79. Boston, Massachusetts: Branden Press, 1982. Google Books, free read available.
* According to Quote Investigator, “Donald Keys appears to be the crucial initial propagator of the quotation although it remains unclear how he learned about the statement. The precise phrasing and the ascription to Margaret Mead hinge on his veracity. There is no substantive support for competing ascriptions, and QI would tentatively assign the saying to Mead.”
This is one of my favorite quotes!