Michezo Yote Inayohitaji Matumizi ya Nguvu ya Mwili wa Juu Hutumia Mnyororo wa Kinetiki Ambao Unaanzishwa Ardhini
Mark Rippetoe: All sports that require upper-body strength use strength along a kinetic chain that starts at the ground
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Kunyanyua uzani [juu ya kichwa kutumia fito ya chuma (ama barbell)] ni mazoezi muhimu zaidi ya mwili wa juu kwa kujizoeza kimwili, kimsingi kwa sababu siyo mazoezi ya mwili wa juu tu. Isipokuwa kwa kuinua-nguvu na kuogelea, michezo yote inayohitaji matumizi ya nguvu ya mwili wa juu husambaza nguvu hiyo kwenye mnyororo wa nishati ya kinetiki ambayo unanza ardhini.
“Wakati wowote mwanariadha anasukuma dhidi ya mpinzani, kurusha zana, kutumia raketi au rungu kwenye mpira, au kupeleka nguvu kwa kitu, nguvu hiyo huanza kwa miguu dhidi ya ardhi.
“[Kwa njia hiyo hiyo] katika kunyanyua uzani [juu ya kichwa kutumia fito ya chuma (ama barbell)] mnyororo wa nishati ya kinetiki—vijenzi hivyo vya mfumo wa misuli na mifupi vinavyohusika katika uzalishaji na usambazaji wa nguvu kati ya sakafu au ardhi na mzigo unaosogezwa—huanzia ardhini na kuishia kwenye fito ya chuma [ama barbell] kwenye mikono."
- Mark Rippetoe, kocha wa mafunzo ya nguvu, mwandishi, na aliyetangulia mwanainua-nguvu (powerlifter) wa Marekani.
ENGLISH TRANSLATION
“The [overhead barbell] press is the most useful upper-body exercise for sports conditioning, primarily because it is not just an upper-body exercise. Except for powerlifting and swimming, all sports that require the use of upper-body strength transmit that force along a kinetic chain that starts at the ground.
“Any time an athlete pushes against an opponent, throws an implement, uses a racquet or club on a ball, or transmits force to an object, that force starts at the feet against the ground.
“In a [overhead barbell] press, the kinetic chain—the components of the musculoskeletal system involved in the production and transmission of force between the base of support and the load being moved—starts at the ground and ends at the bar in the hands.”
- Mark Rippetoe, strength training coach, author, former American powerlifter.
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Rippetoe, Mark. Starting Strength: Basic Barbell Training. 3rd ed. Wichita Falls, Texas: Asgaard, 2011, page 74-75.
I’m fascinated that you’re translating Starting Strength. What’s the connection? 💖