Mtindo Tata wa Urasimu Siyo Hali ya Juu Zaidi
Charlie Munger: Complex bureaucratic process is the not the highest state of civilization
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“[M]tindo tata wa urasimu hauwakilishi utamaduni wa hali ya juu zaidi unaweza kufikia.
“Hali ya juu zaidi ni mtandao usio na mishono, usio wa urasimu wa uaminifu unaostahili…watu wanaoaminika fofofo wanaoaminiana kisahihi….
“Katika maisha yako [pia], unachotaka kuongeza ni mtandao usio na mishono wa uaminifu unaostahilishwa."
- Charlie Munger (1924-2023) alikuwa mwekezaji bilionea, na rafiki wa muda mrefu na mshirika wa biashara wa Warren Buffett
ENGLISH TRANSLATION
“[A] complex bureaucratic procedure does not represent the highest form civilization can reach.
“[A] higher form is a seamless, non-bureaucratic web of deserved trust…just totally reliable people correctly trusting one another….
“In your own life [too], what you want to maximize is a seamless web of deserved trust.”
- Charlie Munger (1924-2023) was a billionaire investor, and long-time friend and business partner of Warren Buffett
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Kaufman, Peter D., ed. Poor Charlie’s Almanack: The Essential Wit and Wisdom of Charles T. Munger. 4th ed. San Francisco: Stripe Press, 2023, pages 304. Kindle edition.
Yes, absolutely! And on the world stage right now, at least here in the west, there are very few that I trust.
This is really good! So sensible, and true. I am only just learning about Charlie Munger. Thank you for this.