[Scroll down for the English]
KISWAHILI
“Je, unataka kujua wakati wako ujao?
Angalia katika kioo.
Angalia tabia zako.
Angalia maamuzi yako.
Angalia matendo yako.
Hizo zinaandika wakati wako ujao.”
- Note fulani iliandikwa na
kwenye Substack. inataka kushiriki hekima na utambuzi yanazoweza kubadilisha maisha yako kwa njia ambazo hukuwahi kufikiria.ENGLISH TRANSLATION
“Want to know your future?
Look in the mirror.
Look at your habits.
Look at your choices.
Look at your actions.
They're writing your future.”
- A Note by
on Substack. seeks to share wisdom and insights that can transform your life in ways you never imagined.Chanzo (source): By
on Substack. A Note posted on January 5, 2024.