Tanzanian President Samia Congratulates Alphonce Simbu for His Stellar Showing at Boston Marathon
IPPmedia news article, April 22
Mmerikani’s Substack consists of sourced, edifying quotes in a dual-language format (Swahili & English). I am a Quaker, runner, and was formally trained in Swahili.
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
Makala ya habari kutoka kwa IPPmedia.com iliyochapishwa Aprili 22:
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi za dhati kwa mwanariadha Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili katika Mashindano ya Kimataifa ya Mbio za Boston (Boston Marathon) yaliyofanyika hivi karibuni nchini Marekani.
[Kuongoza kwa pongezi zake za dhati] "…Ushindi wako ni matokeo ya kujituma kwa bidii, maandalizi mazuri, nidhamu yako kuanzia jeshini, kwenye mazoezi hadi kwenye mashindano, ukilibeba kwa heshima ya hali ya juu jina la nchi yetu," alisema Rais Samia.
ENGLISH TRANSLATION
A news article from IPPmedia.com dated April 22:
President Samia Suluhu Hassan emphatically congratulated sports figure Alphonce Simbu for taking second place at the Boston Marathon which was held recently in the United States.
[Aside from her hearty congratulations she added] “…Your victory is the result of hard work, good preparation, your discipline from the army, in the training leading up to competition and, while doing so, carrying the name of our country with incredible honor,” said President Samia.
Chanzo (source): IPPmedia.com | Nipashe news article dated April 22, 2025: https://www.ippmedia.com/nipashe/michezo/read/rais-samia-ampongeza-alphonce-simbu-ushindi-boston-marathon-2025-04-22-095656#
A fellow runner, eh? Have you ever run the Boston marathon, M? (from someone who knows nothing about running)