Ted Gioia in Swahili: His 8 Best Techniques for Evaluating Character (#3 of 8)
“This was one time when my working class origins didn’t hurt me."
[Scroll down for the English]
KISWAHILI
8 Mbinu Bora za Ted Gioia Kutathmini Sifa ya Mtu Fulani (#3 of 8)
“Ninatakia mtu angeniambia mambo haya nilipokuwa mdogo. Sasa ninazitumia ninapohitaji kupata tathmini ya watu ambao siwafahamu vyema bila kukawia….
Jifunze ni matukio gani yaliyounda tabia zao katika maisha ya mapema
“Hii ni hadithi nyingine ya Afisa Mtendaji Mkuu, lakini yenye somo chanya katika mfano hii. Nilikutana na dalali wa biashara wenye nguvu wakati alinihoji kuhusu mradi fulani, na baadaye tukawa karibu sana.
“Katika mahojiano, alianza kuniuliza kuhusu matukio yangu ya awali—akilenga kabisa yale niliyofanya kabla ya kufikisha umri wa miaka ishirini. Nilifikiri haya yalikuwa mazungumzo madogo tu, na hatimaye angebadilisha mada ili kuuliza kuhusu elimu yangu na mipango ya mradi huo.
"Lakini hakuwahi kubadilisha mada. Tulizungumza kwa zaidi ya saa moja, na kuhusu utoto wangu, miaka yangu ya ujana, na jinsi nilivyokua hadi mtu mzima tu.
“…Imani yake ni kwamba tabia na uwezo wa watu kushughulikia changamoto kuundwa kabisa karibu katika miongo miwili ya kwanza ya maisha yao. Ni hali isiyo kawaida, alisema, kwamba watu kubadilika kwa njia yoyote ya msingi baada ya hapo—siyo haiwezekani, lakini nadra sana. Kwa hiyo, miaka hiyo ya mapema ilikuwa siku zote kitovu cha maswali yake.
"Hii ilikuwa wakati mmoja ambapo asili yangu ya tabaka la wafanyikazi haikuniumiza. Kwa mtazamo wake, umbali niliosafiri kabla ya kwenda chuo kikuu ndio ilikuwa tabia yenye maana juu yangu kuu.
“…baada ya muda [nilimwona] alikuwa na rekodi ya kuvutia katika kutathmini watu. Sasa ninaamini alikuwa akiwa na ufahamu na ninatumia mbinu kama hiyo ninapohitaji kujua watu ni nani kwa kweli, na jinsi wangevyotenda katika mahali magumu.”
[Asante Ted for kwa kunipa ruhusa ya kutafsiri hii!]
ENGLISH TRANSLATION
Ted Gioia’s 8 Best Techniques for Evaluating Character (#3 of 8)
“I wish somebody had told me these things when I was younger. I now practice them when I need to get a fast assessment of people I don’t know well….
Discover what experiences formed their character in early life
“This is another CEO story, but with a positive lesson in this case. I met this particular corporate power broker when he interviewed me for a project, and we later became quite close.
“In the interview, he started by asking me about my earliest experiences—entirely focused on what I did before reaching the age of twenty. I thought this was just small talk, and eventually he would change the subject in order to inquire about my qualifications and plans for the project.
“But he never changed the subject. We spoke for more than one hour, and solely about my childhood, my teenage years, and how I grew to adulthood.
“…His belief is that people’s character and ability to handle challenges are almost entirely formed during the first two decades of their life. It’s an unusual case, he said, for people to change in any substantive way after that point—not impossible, but very rare. So those early years were always the focal point for his inquiries.
“This was one time when my working class origins didn’t hurt me. From his point of view, the distance I traveled before going to college was my most significant attribute.
“…over time [I] saw he had an impressive track record in assessing people. I now believe he was on to something and practice a similar technique when I need to figure out who people really are and how they might act in difficult situations.”
[Thank you, Ted, for the permission to translate this!]
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
Mmerikani
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Gioia, Ted. “My 8 Best Techniques for Evaluating Character.” The Honest Broker on Substack (January 18, 2023). Accessed March 20, 2024. https://www.honest-broker.com/p/my-8-best-techniques-for-evaluating
That’s VERY interesting! 🧐 I’m curious to find out if this is generally true. I imagine it is.