Hujambo Holly! You are exactly the audience I was thinking of when I started this Substack: Others who may wish to practice and see Swahili and/or English. Karibu sana !! Kiswahili chako ni safi! Umesoma lugha hilo shule Kenya au masomo yaliyopitia kanisa lako?
Haya. Ndiyo lugha ni kama muziki na watu huko Afrika ya Mashariki ni wema sana. Siku moja, nataka kuishi huko, kama watu huko wananiruhusu. :) Hadithi yangu ni kwamba nilijifunza lugha kwa ajili ya Jeshi la Anga (USAF), kama unaweza kuamini. Kutoka huko, nilisoma kwangu tu. Pia, nina mheshimiwa mwalamu ambaye amenisaidia kupita kiasi.
Nimefurahi sana kugundua substack yako! Nahitaji mazoezi kwa hivyo kuisema kutanisaidia.
Hujambo Holly! You are exactly the audience I was thinking of when I started this Substack: Others who may wish to practice and see Swahili and/or English. Karibu sana !! Kiswahili chako ni safi! Umesoma lugha hilo shule Kenya au masomo yaliyopitia kanisa lako?
Zaidi kuhusu kujifunza kwangu. Ulijifunza vipi?
Haya. Ndiyo lugha ni kama muziki na watu huko Afrika ya Mashariki ni wema sana. Siku moja, nataka kuishi huko, kama watu huko wananiruhusu. :) Hadithi yangu ni kwamba nilijifunza lugha kwa ajili ya Jeshi la Anga (USAF), kama unaweza kuamini. Kutoka huko, nilisoma kwangu tu. Pia, nina mheshimiwa mwalamu ambaye amenisaidia kupita kiasi.
Kama ungependa mwalimu mzuri sana mtandaoni, rafiki yangu ni bora kabisa!!! Former fulbright scholar.
Bado unasafiri huko Kenya?
Mara moja/mwaka kwa kawaida
Nilisahau linki https://open.substack.com/pub/hollyberkleyfletcher/p/language-lessons?r=17nn2v&utm_medium=ios&utm_campaign=post
Kidogo kama mtoto, zaidi kama mzima kwa kazi na kwa sababu napenda.
Kiswahili yako- inazidi kupata ngazi Hadi ngazi ya juu!
KISWAHILI: Hujambo walimu wangu wa Kiswahili mwenye busara!!! Uko hapa kwenye @substack.
TRANSLATION: Hello my wise Swahili teacher!!! You are here on @substack!
KISWAHILI: Mahali hapa ni pazuri sana. Ni jumuiya ya wanaandishi na wasomaji wa sifa.
TRANSLATION: This place is great! It is a community of quality writers and readers.
KISWAHILI: Siyo kama Twitter au tovuti zingine za mitandao ya kijamii.
TRANSLATION: It is not like Twitter or other social media sites.
KISWAHILI: Nitarudi kwenye kazi yetu ya kitabu chako kijacho punde, Bwana. Tutaonana!
TRANSLATION: I will return to our work on your upcoming book next, good sir. See you later!
Nice!
I now feel I need to read Walter Scott - thanks for the inspiration