KISWAHILI
“Watu wanahitaji kukumbushwa mara nyingi zaidi kuliko wanahitaji kufundishwa.” - Samuel Johnson, mwandishi wa Uingereza na mwandishi wa kamusi (1709-1784)
ENGLISH TRANSLATION
“People need to be reminded more often than they need to be instructed.” - Samuel Johnson, English author and lexicographer (1709-1784)
KISWAHILI: Asante na tutaonana tena,
ENGLISH TRANSLATION: Thank you and may we see each other again,
Mmerikani
Chanzo (source): Lewis, C.S. The Inspirational Works of C.S. Lewis. New York: Inspirational Press, 1991, 330. Internet Archive. Retrieved May 30, 2023: https://archive.org/details/inspirationalwri0000lewi/page/327/mode/1up?view=theater
Natoka Kenya 🇰🇪
I can't believe I have found my own language here. Habari yako? Unatoka nchi gani? Na ulijifunza hii lugha lini?