4 Comments
User's avatar
Edwin Ngetich's avatar

Natoka Kenya 🇰🇪

Expand full comment
Edwin Ngetich's avatar

I can't believe I have found my own language here. Habari yako? Unatoka nchi gani? Na ulijifunza hii lugha lini?

Expand full comment
Mmerikani (Swahili & English)'s avatar

Hujambo Ndugu! Karibuni bustani yangu ya Kiswahili. :)

Natoka Marekani. Najua Kiswahili kidogo kwa sababu tu nilikuwa na nafasi kujifunza kutoka mwalimu bora sana. Yeye amerudi Tanzania sasa lakini bado yeye ni mwalimu wangu. Niko hapa Substaki kujaribu kuonyesha uwezo na uzuri wa Kiswahili.

Umekuja Substaki lini ndugu? Kuna wengine hapa? Asante.

Expand full comment
Edwin Ngetich's avatar

Pole kwa kujibu kama nimechelewa. Nimekua na shughuli kibao na sijapata nafasi ya kujibu. Nilikuja substaki mwaka jana, mwezi wa tano. Kuna wengine wawili nawajua na nitawajulisha kuhusu kazi yako. Hii jarida lako nitakua nikitumia kuongea kiswahili. Nahisi niko nyumbani sasa. Asante ndugu

Expand full comment